Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Bella Bird Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Dunia nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem kabla ya kuanza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem kabla ya kuanza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari
mara baada ya mazungumzo yake na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa
Kanda ya Afrika Hafez Ghanem watatu kutoka kushoto Ikulu jijini Dar es
Salaam. Wengine katika picha ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
nchini Bella Bird wapili kutoka kushoto akifatiwa na Waziri wa Elimu
Profesa Joyce Ndalichako. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje
Balozi Dkt. Augustine Mahiga pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria
Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais
wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem mara baada ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez
Ghanem mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine
katika picha ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bella Bird
wapili kutoka kushoto akifatiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce
Ndalichako. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt.
Augustine Mahiga , Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi
pamoja na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Mstari wa nyuma wakwaza kushoto
ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, Katibu
Mku Wizara ya Fedha Doto James, Balozi Zuhuru Bundala pamoja na wageni
wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem Ikulu
jijini Dar es Salaam aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia
kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem akizungumza na wanahabari Ikulu jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment