Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia) akiongoza kikao cha
Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya
Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa Mikutano
wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) akitaka ufafanuzi
kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, (CGP), Phaustine Kasike,
katika kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja
zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na
Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika
Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (katikati) akiongoza kikao
cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya
Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa
Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote
na Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment