Pages

Saturday, September 29, 2018

USHIRIKI WA NBC KATIKA MAONYESHO YA MADINI MKOANI GEITA WAWAVUTIA WENGI

Waziri wa Biashara na Viwanda, Charles Mwijage (katikati) akishikana mikono na  Meneja wa NBC  Kanda ya Ziwa,  Japhet Mazumira,  wakati akitembelea banda la benki hiyo katika maonyesho  ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendekea katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita leo. kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel Robert na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin Rutageruka. NBC ni mdhamini mkuu wa maonyesho hayo.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokewa na Meneja wa NBC Kanda ya Ziwa, NBC, Japhet Mazumira (kulia),  wakati akitembelea banda la benki hiyo katika maonyesho  ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoedelea  katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita leo. Kutoka ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel Robert.
 Ofisa Mahusiano ya Wateja wa Benki ya NBC Tanzania, Esther Kahabi akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini  katika Kliniki ya Biashara ya NBC  iliyooandaliwa na benki hiyo kwa kushirikiana na  TanTrade katika maonyesho hayo. NBC ni mdhamini mkuu wa maonyesho hayo
Waziri wa Biashara na Viwanda, Charles Mwijage (kushoto) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC,  wakati akitembelea banda la benki hiyo katika maonyesho  ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya CCM Kalangalala Mkoani Geita leo. NBC ni mdhamini mkuu wa maonyesho hayo.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe (katikati) akisaini kitabu cha wageni katiba banda la Benki ya NBC wakati akitembelea banda hilo wakati wa maonyesho  ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayondelea katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel Robert na kushoto ni Meneja wa NBC  Kanda ya Ziwa, Japhet Mazumira. NBC ni mdhamini mkuu wa maonyesho hayo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin Rutageruka (kushoto) akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini kutoka Mkoa wa Geita wakati wa Kliniki ya Biasharaya NBC  iliyooandaliwa na benki hiyo kwa kushirikiana na  TanTrade wakati wa maonyesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita. Kushoto kwake ni, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel Robert na Mwenyekiti wa Chama Cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Geita (GEREMA), Michael Kadeo. NBC ni mdhamini mkuu wa maonyesho hayo

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel Robert akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini wakati wa Kliniki ya Biashara ya NBC  iliyooandaliwa na benki hiyo kwa kushirikiana na  TanTrade ili kuwapa mbinu wa ujuzi katika biashara zao wakati wa maonyesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala Mkoani Geita. NBC ni mdhamini mkuu wa maonyesho hayo.

No comments:

Post a Comment