Balozi
wa Tanzania nchini China, Mhe. Mbelwa Kairuki kwa pamoja na Bibi Annie
Suk-Ching Wu wakisaini Mkataba kumwezesha Bibi Wu kuwa Mwakilishi wa
Heshima wa Tanzania huko Hong Kong na Macao. Tukio hilo lilifanyika
kwenye Ubalozi wa Tanzania jijini Beijing, China na kushuhudiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Dkt. Augustine Mahiga na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda pamoja viongozi
wengine ambao wapo nchini China kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya Afrika na China (FOCAC). |
No comments:
Post a Comment