Pages

Sunday, September 2, 2018

KAMATI YA LAAC YATEMBELEA MIRADI YA MAJI MANISPAA YA DODOMA


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakiangalia maradi wa maji wa Bigwa Msongeni. Wajumbe hao wapo ziarani Mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na barabara katika inayotekelezwa katika Manispaa ya Morogoro.

Mhandisi wa Maji Manispaa ya Morogoro Ndugu Edward Kisalu akitoa taarifa ya mradi wa maji wa Bigwa Msogeni mbele ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC). Wajumbe hao wapo ziarani Mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na barabara katika inayotekelezwa katika Manispaa ya Morogoro.


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mhe. Vedasto Ngombale akitoa maelekezo kwa watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Kamati hiyo ilipotembelea Mradi wa maji wa Bigwa Msongeni ulioko katika Manispaa hiyo. Kamati ya LAAC iko ziarani Mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na barabara katika inayotekelezwa katika Manispaa ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment