|
Mkurugenzi
Mtendaji Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza
na waajiriwa wa kampuni ya Professional Cleaner watakaokuwa wanatoa huduma kwa
mteja (customer care) kwa wadau wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati
wa mafunzo mafupi ya utoaji wa huduma bora kwa mteja leo katika ukumbi wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha na
Utawala wa Taasisi hiyo Agnes Kuhenga
|
|
Mkurugenzi
wa Fedha na Utawala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kuhenga
(kushoto) akitoa maelekezo ya namna ya kutoa huduma bora kwa waajiriwa wa
kampuni ya Professional Cleaner watakaokuwa wanatoa huduma kwa mteja (customer
care) kwa wadau wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo
mafupi ya utoaji wa huduma bora kwa mteja leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini
Dar es Salaam.
|
Mkurugenzi
Idara ya Uuguzi Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya (kulia) akitoa mada ya namna ya kupokea wagonjwa kwa waajiriwa wa
kampuni ya Professional Cleaner watakaokuwa wanatoa huduma kwa mteja (customer
care) kwa wadau wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo
mafupi ya utoaji wa huduma bora kwa mteja leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo
Jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi
wa kampuni ya Professional Cleaner ambaye ni mmoja kati ya watoa huduma kwa
mteja (customer care) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Khadija Abeid akielezea
namna ambavyo atakua akitoa huduma bora kwa wateja wakati wa mafunzo mafupi ya
utoaji wa huduma bora kwa mteja leo katika ukumbi wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete Jijini Dar es Salaam.(Picha
na:
Genofeva Matemu)
No comments:
Post a Comment