Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (kushoto)
akiangaia jinsi mashine ya kukamua mafuta ya Alizeti inavyofanyakazi
walipomtembelea mmoja ya wanufaika wa MKURABITA wilayani Urambo mkoani
Tabora jana. Mwenyekiti huyo na wajumbe wa Kamati hiyo wapo katika ziara
ya makabidhiano ya uongozi kutoka kwa Kamati iliyomaliza muda wake
mapema hivi karibuni. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Margreth Nakainga, mjumbe wa
Kamati ya Uongozi ya MKURABITA, Bibi. Anna Mwasha, Mwenyekiti
aliyemaliza muda wake Kapteni mstaafu John Chiligati na Mreatibu wa
MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe.

Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akizungumza na
wafanyabiashara wanufaika wa Mpango wa Urasimishaji Rasilimali na
Biashara za Wanyonge (MKURABITA) wilayani Urambo mkoani Tabaro jana.
Mwenyekiti huyo na wajumbe wa Kamati hiyo wapo kkatika ziara ya
makabidhiano ya uongozi kutoka kwa Kamati iliyomaliza muda wake mapema
hivi karibuni. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwinga
na Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akizungumza na
wafanyabiashara wanufaika wa Mpango wa Urasimishaji Rasilimali na
Biashara za Wanyonge (MKURABITA) wilayani Urambo mkoani Tabaro jana.
Mwenyekiti huyo na wajumbe wa Kamati hiyo wapo kkatika ziara ya
makabidhiano ya uongozi kutoka kwa Kamati iliyomaliza muda wake mapema
hivi karibuni. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwinga
na Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe.
Mkuu
wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Angelina Kwinga akizungumza
wakati wa mkutano baina ya wafanyabiashara wafanyabiashara wanufaika wa
Mpango wa Urasimishaji Rasilimali na Biashara za Wanyonge (MKURABITA)
wilayani wilayani humo na Kamati ya Uongozi ya MKURABITA chini ya
Mwenyekiti wake Balozi Daniel Ole Njolay (katikati) jana wilayani
Urambo. Kulia ni Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe.
Mwenyekiti
wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge (MKURABITA)
aliyemaliza muda wake Kapteni mstaafu John Chiligati akisisitiza jambo
wakati wa mkutano baina ya wafanyabiashara wanufaika wa Mpango wa
Urasimishaji Rasilimali na Biashara za Wanyonge (MKURABITA) wilayani
Urambo mkoani Tabora na Kamati ya Uongozi ya MKURABITA chini ya
Mwenyekiti wake Balozi Daniel Ole Njolay (hayupo pichani) jana wilayani
Urambo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Angelina
Kwinga na Makamu Mwenyekiti mpya wa MKURABITA Bibi. Irene Senje
(Kushoto).
Mratibu
wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania
(MKURABITA), Bibi. Seraphia Mgembe akisisitiza jambo wakati wa mkutano
baina ya wafanyabiashara wanufaika wa Mpango wa Urasimishaji Rasilimali
na Biashara za Wanyonge (MKURABITA) wilayani Urambo mkoani Tabora na
Kamati ya Uongozi ya MKURABITA chini ya Mwenyekiti wake Balozi Daniel
Ole Njolay (kushoto) jana wilayani Urambo. Kulia ni Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Margreth Nakainga.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Margreth
Nakainga akisisitiza jambo wakati wa mkutano baina ya wafanyabiashara
wanufaika wa Mpango wa Urasimishaji Rasilimali na Biashara za Wanyonge
(MKURABITA) wilayani Urambo mkoani Tabora na Kamati ya Uongozi ya
MKURABITA chini ya Mwenyekiti wake Balozi Daniel Ole Njolay (wa pili
kushoto) jana wilayani Urambo. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Angelina Kwinga na Mratibu wa MKURABITA Bibi. Seraphia Mgembe.
Makamu
Mwenyekiti wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge
(MKURABITA) aliyemaliza muda wake Profesa Ado Lupala akielezea jambo
wakati wa mkutano baina ya wafanyabiashara wanufaika wa Mpango wa
Urasimishaji Rasilimali na Biashara za Wanyonge (MKURABITA) wilayani
Urambo mkoani Tabora na Kamati ya Uongozi ya MKURABITA chini ya
Mwenyekiti wake Balozi Daniel Ole Njolay (kulia) jana wilayani Urambo.
Kutoka kulia ni
Mkuu wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Angelina Kwinga ,
Mwenyekiti maliyemaliza muda wake Kapteni mstaafu John Chiligati na
Makamu Mwenyekiti mpya Bibi. Imaculate Senje.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (kulia) na Mkuu
wa Wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwinga wakipitia taarifa ya
utekelezaji wa Mpango wa Urasimishaji katika Halmashauri ya wilaya ya
Urambo wakati wa kikao baina ya wafanyabiashara wanufaika wa Mpango wa
Urasimishaji Rasilimali na Biashara za Wanyonge (MKURABITA) wilayani
Urambo mkoani Tabaro jana. Mwenyekiti huyo na wajumbe wa Kamati hiyo
wapo katika ziara ya makabidhiano ya uongozi kutoka kwa Kamati
iliyomaliza muda wake mapema hivi karibuni.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akielezea jambo
alipotembelea Kituo cha Pamoja cha Urasimishaji Biashara wilayani
Urambo mkoani Tabora jana. Mwenyekiti huyo na wajumbe wa Kamati hiyo
wapo katika ziara ya makabidhiano ya uongozi kutoka kwa Kamati
iliyomaliza muda wake mapema hivi karibuni. Kutoka kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa MKURABITA aliyemaliza muda wake Profesa Ado Lupala, Makmau
Mwenyekiti mpya Bibi. Irene Senje, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake
Kapteni mstaafu John Chiligati, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Urambo
Bibi. Margreth Nakainga na Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya
Urambo Isack Nkeyemba. Kituo hicho cha pamoja kimewezeshwa na MKURABITA
kwa lengo la kuwarahisishia wananchi kurasimisha biashara zao kupitia
usajili.
Muonekano
wa Jengo linalotumika kama Ofisi za Kituo cha Pamoja cha Urasimishaji
Biashara katika Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora. Kituo hicho kimewezeshwa
chini ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge
Tanzania (MKURABITA) kwa lengo la kuwarahisishia wananchi upatikanaji wa
huduma za usajili wa biashara zao kwa kuwaweka wahusika wote wa usajili
(TRA, Brella, Afisa Biashara na Taasisi za Kifedha) katika jengo moja.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (wa tatu kulia)
na wajumbe wa Kamati yake wakikagua bustani ya mmoja wa wananchi wa
wilaya ya Urambo mkoani Tabora aliyenufaika na MKURABITA Bw. Gilbert
Kihumo (wa pili kulia) jana wilayani humo. Mwenyekiti huyo na wajumbe
wake wapo katika ziara ya makabidhiano ya uongozi na majukumu kutoka kwa
Kamati iliyomaliza muda wake mapema hivi karibuni. Kutoka kushoto ni
Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe, Mtaalamu Mshauri toka
Kampuni ya GODTEC, Makamu
Mwenyekiti wa MKURABITA, Bibi. Irene Senje na Mkurugenzi wa Halmashauri
ya Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Bibi. Margreth Nakainga.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za
Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Kampuni ya Urambo
Wazalendo na wajumbe wa Kamati yake mara baada ya kupokea taarifa yao
jana wilayani Urambo. Mwenyekiti huyo na wajumbe wake wapo katika ziara
ya makabidhiano ya uongozi na majukumu kutoka kwa Kamati iliyomaliza
muda wake mapema hivi karibuni. Kampuni hiyo imeanzishwa na baadhi ya
wanufaika wa MKURABITA wilayani Urambo kupitia elimu waliyopewa na
MKURABITA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC.
(Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO, Urambo).











No comments:
Post a Comment