Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiangalia viatu vya ngozi vilivyotengenezwa na Wajasiriamali wa Wilaya
ya Momba muda mfupi kabla hajahurubia kwenye viwanja vya Shule ya Msingi
Tunduma ikiwa siku ya tatu ya ziara yake mkoani Songwe.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakazi waTunduma kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma
ikiwa siku ya tatu ya ziara yake mkoani Songwe.

Sehemu
ya Umati wa wakazi wa Tunduma waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

akizungumza na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Tunduma mara baada ya
kukifungua ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za
kimaendeleo mkoani Songwe.

No comments:
Post a Comment