Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha wazee wa Kihehe kwenye
hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wao pamoja na viongozi wa
dini, siasa na wa TUCTA katika Ikulu ndogo ya mjini Iringa usiku wa Mei
Mosi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Naibu Chifu wa Wahehe
Gerald Malangalila akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakielezea historia ya
Iringa katika hafla hiyo
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahigaakisimulia
historia ya machifuIringa katika hafla hiyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha wazee wa Kihehe
kujipatia chakula cha jioni aliyowaandalia wao pamoja na viongozi wa
dini, siasa na wa TUCTA katika Ikulu ndogo ya mjini Iringa usiku wa Mei
Mosi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wageni wengine wakimsikikiza Mbunge
wa Iringa mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mch. Peter Msigwa akiongea
machache wakati wa hafla hiyo ya chakula cha jioni Ikulu ndogo ya
mjini Iringa usiku wa Mei Mosi
Madiwani wa kata mbalimbali za mji wa Iringa waliohamia CCM kutoka CHADEMA wakijitambulisha kwenye hafla hiyo. Picha na IKULU






No comments:
Post a Comment