Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.
Philip Mpango akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti
wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF), Dk. Tausi Kida (kulia), wakati wa
Ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa taasisi hiyo ambapo mada mbalimbali
zikihusu ukuzaji wa uchumi ziliwasilishwa.Katikati ni Balozi wa Sweden
nchini Tanzania, Katarina Rangnitt. Mkutano huo ulifanyika jana, jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF), Dk. Tausi Kida akiongoza
moja ya majadiliano wakati wa Mkutano wa Saba wa taasisi hiyo ambapo
mada mbalimbali zikihusu ukuzaji wa uchumi ziliwasilishwa.Wengine
kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu , Dk. Albina
Chuwa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na
Maendeleo(UNDP), Fitsum Abraha.Mkutano huo ulifanyika jana , jijini Dar
es Salaam.
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi,
Prof. Sabina Alkire akiwasilisha mada wakati wa Mkutano wa masuala ya
uchumi ambapo mada mbalimbali zikihusu ukuzaji wa uchumi ziliwasilishwa.
Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Prof.
Kaushik Basu.
Gavana Mstaafu wa Benki Kuu ya
Tanzania, Prof. Benno Ndulu akiwasilisha mada wakati wa Mkutano wa
masuala ya uchumi ambapo mada mbalimbali zikihusu ukuzaji wa uchumi
ziliwasilishwa. Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es
Salaam.Kushoto ni Prof. Joseph Stiglitz.
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi,
Prof. Joseph Stiglitz akiwasilisha mada wakati wa Mkutano wa masuala ya
uchumi ambapo mada mbalimbali zikihusu ukuzaji wa uchumi ziliwasilishwa.
Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Gavana
Mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu
Mshiriki wa Mkutano wa Saba wa
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii, Dk. Charles Kitima
akichangia hoja wakati wa mkutano huo ambapo masuala mbalimbali ya
ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es
Salaam.
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Mstaafu (CAG), Ludovick Utoh akichangia hoja wakati wa mkutano huo
ambapo masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano huo
ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.
Mshiriki wa Mkutano wa Saba wa
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii, Prof. Honest Ngowi
akichangia hoja wakati wa mkutano huo ambapo masuala mbalimbali ya
ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es
Salaam.
Mwakilishi wa Benki ya Dunia
nchini Tanzania, Bella Bird akichangia hoja wakati wa mkutano huo ambapo
masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano huo
ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Abubakari Akida
No comments:
Post a Comment