Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi
Ngazi ya Mashina (Mabalozi) wa Wilaya ya Micheweni katika Ukumbi wa
Skuli ya Sekondari Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo,(kushoto) Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi
katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni
Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao leo katika Ukumbi wa Skuli ya
Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi

Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment