Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Rais
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma wa pili kutoka kulia
wakivuta utepe kwenye jiwe la msingi kuashiria ufunguzi wa Barabara ya
Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika
kujengwa katika kiwango cha lami. Sherehe hizo za ufunguzi zilifanyika
katika kijiji cha Ndolela kilichopo Isimani nje kidogo ya mji wa Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Rais
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma, Balozi wa Japan
Masaharu Yoshida wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya
Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika
kujengwa katika kiwango cha lami. Wengine katika picha ni Mke wa Rais
Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa , Spika wa
Bunge Job Ndugai pamoja na viongozi wengine wa Serikali na wageni
kutoka nje ya nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya
Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha
lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sherehe hizo
za ufunguzi wa barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya
Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha
lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni
mara baada ya kuwasili Isimani Mkoani Iringa
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwa jukwaa kuu pamoja na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida, Waziri wa
Ardhi Wiliam Lukuvi, pamoja na Waziri wa Mambo ya nje Balozi Dkt.
Augustine Mahiga wakifatilia sherehe za ufunguzi wa barabara ya ya
Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika
kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Iringa mjini waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili akitokea Isimani
mkoani Iringa.
Mwananchi wa Iringa mjini
akipuliza pembe ya ng’ombe wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili Iringa mjini
katika ziara ya kikazi.
Taaswira ya Barabara
ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Isimani mkoani Iringa, Barabara hiyo ya
kutoka Iringa- Migori hadi Fufu km 189 imefunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kijiji Ndolela mkoani
Iringa.

Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Migori wakati akiwa njiani kuelekea Isimani mkoani Iringa ambapo alifungua
rasmi Barabara ya Iringa- Migori hadi
Fufu km 189.

Fufu km 189. PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment