Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Dkt. Akinumwi Adesina ambaye alihudhuria
maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika
katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Benki
ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuwasili
mjini Dodoma kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina ambaye
aliambatana na ujumbe wake mkoani Dodoma.

No comments:
Post a Comment