Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa
Mbeya, Constatine Mushi (kushoto) akipokelewa na Meneja Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya Bw. Gasper
Materu mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Usungilo kwa ajili ya
uzinduzi wa mafunzo ya siku tano kuhusu Mifumo iliyoborehswa ya Bima ya
Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya
(DHFF) na Manunuzi ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD (Jazia – Prime
Vendors System) leo Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga
Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya,
Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa,
Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa
Mbeya, Constatine Mushi akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya
siku tano kuhusu Mifumo iliyoborehswa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF),
Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na wa Manunuzi
ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD, (Jazia – Prime Vendors System) leo
Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na
Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa
Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa
na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3. Kutoka kushoto ni Mganga Mkuu
wa Mkoa wa Iringa Dk. Robert Salim, Meneja Programu ya Uimarishaji wa
Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu na
Mwakilishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Bi. Nkinda Shekalage.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Janeth Kibambo akielezea
jambo wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya siku tano kuhusu Mifumo
iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na
Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na wa Manunuzi ya dawa nje ya mfumo
rasmi wa MSD, (Jazia – Prime Vendors System) leo Jijini Mbeya.
Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu
Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na
Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe
chini ya ufadhili wa USAID/PS3.
Mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais,
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Bi. Nkinda
Shekalage akifafanua juu ya madhumuni ya mafunzo ya siku tano kuhusu
mifumo iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha
na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na Manunuzi ya dawa nje ya mfumo
rasmi wa MSD, (Jazia – Prime Vendors System) leo Jijini Mbeya.
Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu
Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na
Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe
chini ya ufadhili wa USAID/PS3.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya
siku tano kuhusu mifumo iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF),
Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na Manunuzi ya
dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD, (Jazia – Prime Vendors System)
wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi
wa mafunzo hayo leo Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga
Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya,
Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa,
Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.
Baadhi ya wawezeshaji wa mafunzo
ya siku tano kuhusu mifumo iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja
(CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na
Manunuzi ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD(Jazia – Prime Vendors System)
wakijadiliana jambo mara baada ya uzinduzi rasmi wa mafuynzo hayo leo
Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na
Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa
Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa
na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3. (Picha na: Frank Shija –
MAELEZO, Mbeya.)
No comments:
Post a Comment