Baadhi ya wakuu wa Taasisi
zilizoko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha hotuba kuhusu mapitio na
mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya
fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019,
bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akielekea kwenye eneo la kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo
wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za
Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni
mjini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na
makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na
Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na
makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na
Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba baada ya
kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na
makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na
Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipongezwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi kwenye
viwanja vya Bunge Mini Dodoma baada ya hotuba kuhusu mapitio na
mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya
fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019,
bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipongezwa akipongezwa na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Profesa
Faustin Kamuzora -Sera na Uratibu(wapiti kulia), Eric Shitindi – Kazi,
Akira na Wenye Ulemavu (kulia) na Maimuna Tarishi- Waziri Mkuu na Bunge
(wapili kushoto) baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na
mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya
fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019,
bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018. Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Baraza
la Kazi Uchumi na Jamii(LESCO), Det. Samwel Nyantahe. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, George Mkuchika (Katikati) na Waziri wa Fedha na
Mipango, Dkt. Philip Mpango kwenye viwanja bunge baada ya kuwasilisha
hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya
mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge
kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Afisa Mtetezi CCBRT Bw. Fredrick Msigala kwenye viwanja
vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa
kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi
ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini
Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipongezwa na wabunge wa Viti Maalum, Faida Mohammed Bakari
(katikati), Azza Hilal Hamad (kulia) na Aisharose Matembe kwenye
viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na
mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya
fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019,
bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment