Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao cha
Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Tanzania, Leo Mjini
Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja za wabunge wakati wa Kikao cha
Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Tanzania, Leo Mjini
Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Rais-Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwasilisha Bungeni
azimio la Bunge la Kuridhia makubaliano ya Paris chini ya mkataba wa
Umoja wa Mataifa kuhusu mkataba wa mabadiliko ya Tabia nchi, Leo Mjini
Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mh. Jenista
Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk Adelardus
Kilangi, wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge
la Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
Picha na MAELEZO
No comments:
Post a Comment