|
|
Greetings Christian Gaya,
Menejimenti
na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) wanaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
John Joseph Pombe Magufuli, na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika
Maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano Tanganyika na Zanzibar.
"HIFADHI YA JAMII KWA WOTE" |
|
|
|
No comments:
Post a Comment