JARIDA LA NCHI YETU NDANI YA UWANJA WA JAMHURI DODOMA
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisoma
jarida la nchi yetu wakati wa madhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanziabar mapema leo mjini Dodoma.Rais
wa Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisoma
Jarida la Nchi Yetu, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya maadhimisho ya
Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Kushoto ni Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim MajaliwaKatibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto( Idara
Kuu ya Maendeleo ya Jamii ) Bibi Sihaba Nkinga akimuonesha Katibu Mkuu
Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo Bi. Susan Mlawi Jarida la
nchi yetu wakati wa maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
leo mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment