Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na
Ujumbe wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa
na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark
J.Mwandosya (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa
na aliofuatana nao leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na baadhi
Viongozi wa Ujumbe wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo chini ya kiongozi wake Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya (katikati),[Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment