Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Capt.
Chiku Galawa (kulia) akizungumza na Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge
ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Venance Mwamoto
(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Dkt. Jasmine Tisekwa
Bunga (katikati) pale kamati hiyo ilipomtembelea ofisini kwake kabla ya
kuanza ziara ya kikazi ya kutembelea konga ya watu wanaoishi na Virusi
vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Capt.
Chiku Galawa (kulia) akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Baraza la Taifa la Watu
Wanaoishi na VVU (NACOPHA) pamoja na JSI, iliyoongozwa na Makamu
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga (wa pili
kushoto) kabla ya kuanza ziara ya kikazi ya kutembelea konga ya watu
wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Wilaya ya
Mbozi, Mkoa wa Songwe.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe.Zaynab Vulu (kulia)
akisalimiana na wana konga ya watu wanaoishi na VVU katika Halmashauri
ya Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe pale kamati hiyo ilipowatembelea
katika ziara yake ya kikazi.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Dkt.
Jasmine Tiisekwa Bunga (aliesimama)akizungumza na wana konga wanaoishi
na VVU katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe pale kamati
hiyo ilipotembelea konga hiyo kwa ajili ya kuamasisha utumiaji wa dawa
na jinsi ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment