| Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Mhe.
Fatma M. Rajab (wa kwanza kulia walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja
na Wajumbe walioshiriki mkutano wa kikao cha Kwanza cha Wajumbe wa
Global Dryland Alliance. Balozi Rajab alimwakilisha Mhe. Dkt. Charles
Tizeba, Waziri wa Kilimo. Mkutano huo ulifanyika kwenye Makao Makuu ya
Umoja iliyopo Doha, Qatar hivi karibuni. Umoja huo ambao ulianzishwa
rasmi mwaka 2017 unaangalia namna ya kutatua majanga ya njaa
yanayosababishwa na ukame, upungufu wa mvua na mabadiliko ya hali ya
hewa. |
No comments:
Post a Comment