Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akizungumza na Waandishi wa
Habari wakati wa hafla fupi ya kugawa vifaa vya Samani kwa Mabaraza ya
Ardhi na Nyumba ya Wilaya, Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akijaribu Kiti, moja ya kifaa
cha Samani, alivyokabidhi kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya;
Kulia kwake ni; Assessor Ramadhani (mwenye miwani), Mwenyekiti – Ilala;
John Bigambo na Mwenyekiti mwingine Ilala; Bi Mwenda
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akimshika mkono Mwenyekiti wa
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Ilala; Mhe. Chenya kuashiria
Makabidhiano rasmi ya Samani kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya.
Kulia ni; Assessor Ramadhani (mwenye miwani), Mwenyekiti – Ilala; John
Bigambo na Mwenyekiti mwingine Ilala; Bi Mwenda
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akisisitizia kwa Wenyeviti wa
Mabaraza ya Ardhi, Nyumba na Wilaya wa Ilala na Kinondoni kuhusu
Utendaji bora wa kazi na umakini wa matumizi ya Samani alizokabidhi kwa
Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya.
No comments:
Post a Comment