Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe (katikati)
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua
zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya nyimbo zinazokiuka
maadili, kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza na kulia
Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’.
Naibu Waziri
wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto)
akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua
zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya nyimbo zinazokiuka
maadili, katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk
Harrison Mwakyembe na kulia ni Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul
‘Diamond’.
Msanii wa bongo fleva, Nassib
Abdul ‘Diamond’ (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) kuhusu maridhiano yaliyofikiwa kati yake na Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo jana jijini Dar es Salaam, Katikati ni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe na
kushoto ni Naibu Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana
Shonza.
Picha na Idara ya Habari – MAELEZO
No comments:
Post a Comment