DC MATIRO APIGISHA KURA ZA SIRI KUBAINI WAUAJI WA MAPANGA SHINYANGA VIJIJINI
Kufuatia kuibuka kwa taarifa za kuwepo
kwa mauaji ya wanawake yanayoambatana na imani za kishirikina katika
kata ya Salawe wilaya ya Shinyanga, mkuu wa wilaya hiyo Josephine Matiro
amefanya mkutano na wananchi wa eneo hilo kwa ajili ya kutafuta chanzo
na ufumbuzi kumaliza mauaji hayo.
No comments:
Post a Comment