Pages

Wednesday, February 28, 2018

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YATILIANA SAINI UJENZI WA NYUMBA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO ZANZIBAR

????????????????????????????????????
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed  Aboud Mohammed kulia akizungumza na Ujumbe wa  Mwezi Mwekundu wa  Emarates kuhusiana na utiliaji saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
DSC_0141
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed  Aboud Mohammed aliesimama kulia akiwa pamoja na Msaidizi Balozi wa Emarates Muhammed Ibrahim Al-Bahri wakishuhudia utiaji saini  Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
DSC_0144
Mkurugenzi wa Kamisheni ya Maafa zanzibar Shaaban Seif Mohammed akibadilishana hati ya saini na Mkurugenzi wa Maafa wa Emarates Said Mohammed Al-humaini kuhusiana na  Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
DSC_0173
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed  Aboud Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na  Ujumbe wa  Mwezi Mwekundu wa  Emarates baada ya  kutiliana  saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
…………………
Na Miza Kona-Maelezo Zanzibar
SerikaliyaMapinduzi Zanzibar imetilianasainimakubalianonaSerikaliyaNchizaFalmezaKiarabu (UAE), kuhusiananaujenziwanyumbakwaajiliyawananchiambaomakaaziyaoyaliharibikakutokananamvuazamasika.
HaflayakuiajisainihiyoimefanyikakatikaOfisiyaMakamuwaPilikatiyaMamlakayaMweziMwekunduyaUAEitakayoshughulikiaujenzihuonaKamisheniyaMaafaya Zanzibar.
WaziriwaNchi,OfisiwaMakamuwaPiliwaRais Mohammed Aboud Mohammed,
amesemamsaadawaujenzihuonimatundayaziarailiyofanywanaRaisDk. Ali Mohamed SheinkatikaFalmezaKiarabuwiki kadhaazilizopita.
Katikaziarahiyo, Mfalmewa UAE aliahidikuisaidia Zanzibar katikasektambalimbalizamaendeleonahudumazakijamii. 
“TunaishukuruserikaliyaUAE kwamsaadahuumkubwaambaoutazidikuimarishauhusianonauduguuliopobainayanchizetu,”alisemaAboud.
NaeMkurugunziwakamisheniyakukabiliananaMaafaShaabanSeif Mohammed,amesemamsaadahuoutasaidiakuondoausumbufuwanaopatawananchikatikakipindi cha mvuahasayanapotokeamafuriko.
“WananchiwanaoishimaeneoyaZiwaMaboga, Mwanakwerekwenamengineyanayotuwamamajindiowatakaohamishiwakwenyenyumbahizoiliwakaekatikamakaazisalama,” alisema.
“Aidhanyumbazilizojengwakatikamaeneoyenyekupitaau kukaamajitutazivunjailikukomeshamaafanausumbufu,”alielezaMkurugenzihuyo.
Mkurugenzihuyoamewatakawananchikuchukuatahadharizamapemakwakuondokamaeneoyanayokaamajiilikuepukananahasaranamatatizowakatiwakipindi cha mvua.
NaemwakilishikutokaubaloziwaUAE Mohammed Ibrahim Al-Bahr, amesemaserikaliyanchiyakeitaendeleakuisaidia Zanzibar kwakuimarishahudumazakijamiiikiwemohospitalinauchimbajiwavisimakwalengola kuwasaidiawananchi wakepamojanakuletamaendeleo.
AmeishukuruSerikaliya Zanzibar kwakuwapatiaardhiitakayotumikakujenganyumbazamakaaziyakudumukwaajiliyawananchiwaliokumbwanamaafailiwaishikwafurahanautulivu.
Mradihuoutahusishanyumba 55 ambapo 30 zitajengwaFukuchaniMkoawaKaskaziniUnguja, nanyengine 25 zitajengwaTumbeMkoawaKaskaziniPemba. 

No comments:

Post a Comment