Mkuu wa Takwimu za Bei katika
Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar Khamis Abdul-Rahman Msham akiwasilisha
Takwimu za Bei kwa Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba
ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika
katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.
Mhadhiri wa Uchumi Chuo Kikuu Cha
Taifa SUZA Dk,Suleiman Msaraka akitoa ufafanuzi wa Takwimu za Bei kwa
Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka
kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya
Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa ITV
Farouk Kariym akiuliza maswali katika mkutano wa Waandishi wa Habari
kuhusiana na Takwimu za Bei kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo
zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika
Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanziba.
Meneja wa Uchumi Benki Kuu Tawi
la Zanzibar Moto Ng’winganele Madeshi Hugobi katikati akijibu maswali
yalioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei kwa
mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0
hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe
Zanziba.kulia yake ni Mhadhiri wa Uchumi Chuo Kikuu Cha Taifa SUZA
Dk,Suleiman Msaraka na kushoto yake ni Mkuu wa Idara ya Takwimu za
kiuchumi Zanzibar Abdul Ramadhan Abeid.
Baadhi ya Waandishi wa Habari
waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Takwimu za Bei kwa mwezi wa
Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9
hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanziba.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment