KWA
WASTAAFU WOTE WA UNGUJA NA PEMBA UHAKIKI HUO UTAFANYIKA TAREHE 02 JANUARI 2018 HADI
07/01/2018 KUANZIA SAA 2:00 ZA ASUBUHI.
UHAKIKI
HUO UTAFANYIKA KATIKA OFISI ZA ZSSF KILIMANI MNARA WA MBAO NA TIBIRINZI
CHAKECHAKE PEMBA.
INASISITIZWA
KUWA UHAKIKI HUO NI KWA SIKU SITA TU. WASTAAFU WATAKAPOKWENDA KUHAKIKIWA
WANATAKIWA KUCHUKUA VITAMBULISHO VYAO VYA ZSSF NA ASIYEHAKIKIWA PENSHENI YAKE
ITAZUIWA.
AIDHA
WASTAAFU WOTE AMBAO HADI LEO HAWAJAFUNGUA AKAUNTI ZA BENKI NA KUWASILISHA
NAMBARI ZAO KWA AJILI YA KUPITISHIA MALIPO YAO YA PENSHENI ZSSF, WANATAKIWA
KUHARAKISHA KUFANYA HIVYO. MNAARIFIWA KUWA HAKUTAFANYIKA MALIPO YEYOTE KWA NJIA
YA FEDHA TASLIM KUANZIA MWEZI HUU WA JANUARI 2018.
KILA ATAKAYESIKIA TANGAZO HILI AMUARIFU MWENZAKE.
BODI YA
WADHAMINI NA WAFANYAKAZI WA ZSSF WANAWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA WA 2018 NA UWE
WENYE MAFANIKIO
LIMETOLEWA NA:
MKURUGENZI
MWENDESHAJI
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR,
S.LP 2716 KILIMANI MNARA WA MBAO
No comments:
Post a Comment