Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa pili kulia waliokaa nyuma)
akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Tengeru English
Medium katika eneo la Ngurudoto Crater alipotembelea hifadhi ya Taifa
ya Arusha (Arusha National Park) iliyoko mkoani Arusha leo tarehe
29/12/2017. Kushoto kwake ni msanii wa maigizo Kingwnedu na kulia kwake
ni Rais wa TAGOANE Dkt. Godwin Maimu , taasisi ya TAGOANE ndiyo iliyo
ratibu safari hiyo ya siku moja ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Afisa Utalii na Masoko wa Hifadhi
ya Taifa ya Arusha Ndg. Nicholaus Mahimbi (kulia) akimfafanulia Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
(kushoto) kuhusu mabaki ya fuvu la Nyati lililopo katika eneo la Ziwa
Dogo la Momella wakati Mhe. Shonza alipotembela hifadhi hiyo iliyoko
mkoani Arusha leo tarehe 29/12/2017 kama juhudi za kuhamasisha utalii wa
ndani nchini.
Askari wa wanyama pori wa Hifadhi
ya Taifa ya Arusha Ndg. Agustino Kombwa (wa kwanza kulia) akimpa
maelekezo ya namna ya kupanda mlima Meru Naibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa kwanza
kushoto)alipotembela hifadhi hiyo iliyoko mkoani Arusha leo tarehe
29/12/2017 kama juhudi za kuhaasisha utalii wa ndani nchini.Kulia kwake
ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Ndg. Godfrey
Mngereza na Dkt. Godwin Maimu Rais wa taasisi ya TOGOANE. Taasisi ya
TAGOANE ndiyo iliyo ratibu safari hiyo.
Askari wa wanyama pori wa Hifadhi
ya Taifa ya Arusha Ndg. Majid Kijaji (kushoto) akimfafanulia Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa
kwanza kulia) kuhusu fuvu la Fisi wakati alipotembela hifadhi hiyo
iliyoko mkoani Arusha leo tarehe 29/12/2017 kama juhudi za kuhamasisha
utalii wa ndani nchini.
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Mery Kirombo (wa kwanza kulia)
akimpatia maelezo mafupi kuhusu hifadhi hiyo Naibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) muda mfupi
kabla ya kuanza kwa safari ya kuhamsisha utalii katika hidadhi hiyo leo
tarehe 29/12/2017 mkoani Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza
la Sanaa Tanzania (BASATA) Ndg. Godifrey Mngereza. Safari hiyo
iliandaliawa na Taasisi ya Mtandao wa Wasanii wa Musiki wa Njili hapa
Nchini (TAGOANE)
PICHA NA,OCTAVIAN KIMARIO
WHUSM
No comments:
Post a Comment