Baadhi
ya Madaktari wa kujitolea kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakiwa katika
hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto
wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi
“A” Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo mgeni rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Baadhi ya Madaktari wa kujitolea
kutoka Jamhuri ya Watu wa China,Wananchi na Watoto wakiwa katika hafla
ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto wanaolelewa
katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa
Mjini Magharibi iliyofanyika leo mgeni rasmi akiwa Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]
04/11/2017.
Watoto wanaolelewa katika kituo
cha kulelea Watoto kiliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa
Mjini Magharibi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya
Upimaji wa Afya za Watoto hao iliyofanyika leo mgeni rasmi akiwa Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani),[Picha na
Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama
Liu Jie(katikati kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia Ngoma ya
Utamaduni kutoka China iliyochezwa na vijana wa Zanzibar na China
katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto
iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi, [Picha na Ikulu.]
04/11/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama
Liu Jie (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakiwaangalia Watoto wa
Kituo cha mazizini wakiimba Wimbo maalum wa kuwakaribisha wageni
katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto
iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi, [Picha na Ikulu.]
04/11/2017.
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake
na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico (kulia) akimkabidhi zawadi na
Vifaa mbakli mbali Mtoto Ruwaida Abdalla Aly kwa niaba ya Watoto katika
Kituo cha Mazizini,zilizotolewa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Mhe.Mama
Liu Jie (katikati) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya
Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea
Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini
Magharibi, [Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa
huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika
Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa
Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake
na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico na Mke wa Balozi Mdogo wa China
Mhe.Mama Liu Jie (kushoto) , [Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein akimpakata Mtoto Yussuf Abdalla Abdilah akifanyiwa
uchunguzi wa Dr.Qin Qin (kulia) kutoka china akiwa ni miongoni mwa
Madakatri wa kujitolea akati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya
Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea
Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini
Magharibi,[Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Balozi Mdogo wa China
aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) akimpakata mtoto wakati
wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto
iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Dr.Guo Yulan
akiendelea na zoezi hilo,wakiwepo na Viongozi wengine Dr.Wang Hao,Waziri
wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto Mhe.Moudline
Cyrus Castico,Katibu Mkuu Bi.Fatma Gharib Bilali na Naibu Wazuiri wa
Afya Mhe,Harusi Said Suleiman, [Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama
Liu Jie (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa picha ya pamoja na
Madaktari wa Kichina wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya
Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea
Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini
Magharibi,[Picha na Ikulu.] 04/11/2017.
No comments:
Post a Comment