Daladala
likiwa limebebwa kwenye mkokoteni likitoka maeneo ya Dodoma Inn kuelekea
barabara ya Dar es salaam mjini Dodoma Novemba 2, 2017. Licha ya
kusababisha mshangao kwa watuomiaji wa barabara pia lilisababisha
msongamano wa magari.. (Picha na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment