Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) kabla ya kufungua
mkutano huo jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) wakipiga makofi mara baada
ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli
kuwasili ukumbini hapo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akipiga makofi mara
baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiendelea na Kikao jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe. Dkt. John Magufuli akijadiliana jambo
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM kwa upande wa Tanzania Bara Rodrick Mpogolo kabla
ya kufungua mkutano huo wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment