Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana Ajira na Watu
Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akisisitiza jambo pamoja na Balozi
wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam
Agosti 2,2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na
Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Balozi wa
Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Vietnam
na Tanzania ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017. Kulia
ni Msaidizi wa Balozi Bw. Ton Ho Tri Dzung.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na
Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na
Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh baada ya mazungumzo yao, ofisini
kwake Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017.
No comments:
Post a Comment