Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akionesha Ramani
ya Ujenzi wa Mji wa kisasa utakaojengwa sambamba na ufukiaji wa Bahari
ya Eneo la pwani ya Gulioni katika kikao cha siku moja
kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na
Uongozi wa Shirika la Nyumba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akionesha
Ramani ya Ujenzi wa Mji wa kisasa utakaojengwa sambamba na ufukiaji wa
Bahari ya Eneo la pwani ya Gulioni katika kikao cha siku moja
kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na
Uongozi wa Shirika la Nyumba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Nyumba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofanya
kikao cha siku moja pamoja na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na
Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
01 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe wa
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na Uongozi wa Shirika la Nyumba
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
No comments:
Post a Comment