Mkuu wa Wilaya ya Moshi Kippi Warioba
akiongozana na Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani
walipotembelea kijiji cha Mshiri katika wilaya ya Moshi kusikiliza
Changamoto zinazo wakabili wananchi waishio kando ya Hifadhi ya Mlima
Kilimanjaro .
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo,James
Mbatia katika mkutano wa wananchi katka kijiji cha Mshiri wilayani Moshi
uliohusu Zaidi changamoto iliyopo katika eneo la Nusu Maili katka
Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro .
Baadhi
ya wakazi wa Kijiji cha Mshiri wilayani Moshi waishio kando ya Hifadhi
ya taifa ya Mlima Kilimanjaro waliofika kwa ajili ya kumueleza Naibu
Waziri wa Malisli na Utalii,Mhandisi Ramo Makani changamoto
zinazowakabili hususani eneo la Nusu Maili.
Niabu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizungumza na wananchi katika kijiji cha
Mshiri wilayani Moshi ,alipotembelea kijiji hicho kusikiliza Changamoto
zinazo wakabili hususani katika eneo la Nusu Maili lililopo chini ya
Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya Wakazi wa Kijiji cha Mshiri
wilayani Moshi wakimsikiiza Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi
Ramo Makani (Haupo pichani ) alipozungumza nao.
Mbunge wa jimbo la Vunjo ilipo kijiji
cha Mshiri ,James Mbatia akizungumza katika mkutano huo kuhusu Changaoto
mbalimbali zinazowakabili wananchi kaika kijiji hicho.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mshiri wilani Moshi.
Mku wa wilaya ya Moshi ,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi kutoka Shirika la
Hifadhi za Taifa (TANAPA) walioongozana na Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani kutembelea kijiji cha Mshiri,kutoka kulia ni
Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete,Meneja Utalii wa
Tanapa.Bw Manase na Mhifadhi Ujirani Mwema KINAPA,Bi Hobokela
Mwamjengwa.
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Hifdhi za Taifa (TANAPA) Mtango Mtahiko akiwa na Mhifadhi Mkuu wa
Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook katika mkutano
wa Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani na wananchi
katika kijiji cha Mshiri.
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa
TANAPA,Mtango Mtahiko akitoa salamu katika mkutano huo.
Baadhi ya Wananchi katika kijiji cha Mshiri.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya
Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook akizungumza jambo katika mkutano
huo.(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini)
No comments:
Post a Comment