WHEN African leaders converge again for their next Summit on the 30th next January, they will hopefully be appending their signature on the document that will chart the path towards achieving the goals of the long drawn theme: “Harnessing the demographic dividend through investment in the youth.”
Pages
▼
Thursday, August 31, 2017
Are Africa leaders at a cross road?
DORINE NININAHAZWE
Upcoming Kiswahili conference big boost to EAC integration
Local company, South African firm ink deal to boost tourism
By: Joan Mbabazi
Efforts to promote Rwanda as a conference
hub have been boosted by the signing of a partnership deal between local
tour firm and one of South Africa’s leading events organisers.
New deal to boost productivity of mothers working in tea plantations
By: Emmanuel Ntirenganya
Mothers working in tea plantations are
receiving a timely boost that will see them be more productive and their
children getting better care.
DKT PALLANGYO AKUTANA NA KAMPUNI YA M & P EXPLORATION PRODUCTION TANZANIA LIMITED
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akiongoza
kikao kilichoshirikisha watendaji kutoka Kampuni inayojihusisha na
utafiti na uchimbaji wa gesi ya M & P Exploration Production
Tanzania Limited, Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akizungumza na
Meneja Mkuu kutoka Kampuni inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa
gesi ya M & P Exploration Production Tanzania Limited, Christophe
Maitre ( kushoto) katika kikao hicho.
Sehemu ya watendaji kutoka Wizara
ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa
yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt.
Mhandisi Juliana Pallangyo (hayupo pichani) katika kikao hicho
…………………..
Leo Agosti 31, 2017 Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo
amekutana na Kampuni inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya M
& P Exploration Production Tanzania Limited kwenye Ofisi za Wizara
ya Nishati na Madini zilizopo jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni
kujadili namna ya kuendeleza gesi ya Mnazi Bay. Kikao hicho pia
kilishirikisha watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania
(TPDC)
MAAFISA WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA MAENDELEO YA UJERUMANI WATEMBELEA MAHAKAMA YA AFRIKA
Mkuu wa taasisi za GIZ na AGA,Hartmut Krebs akiangalia sehemu ya machapisho kwenye maktaba ya AfCHPR. |
Msajili wa mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR),Dk Robert Enno(kulia)akizungumza na ujumbe kutoka taasisi za Wizara ya maendeleo ya Ujerumani waliotembelea mahakama hiyo. |
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA WA SASA NA WASTAAFU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus
Kapilimba alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama
wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017.
Wengine ni watangulizi wa Dkt. Kapilimba, Bw.Cornel Apson, (wapili
kushoto), na Bw.Rashid Othman,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili katika chumba cha mkutano kwa ajili ya kuzungumza na viongozi
wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Agosti 31, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwakaribisha viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu wakisimama
kwa heshima kuomboleza msiba wa baba wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Mstaafu Jenerali George Waitara wakati alipokutana nao Ikulu jijini
Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea
kuzungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa
sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo
yao.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance
Mabeyo pamoja na wakuu wastaafu wa Jeshi hilo Jenerali Mirisho Sarakikya
(wa pili kushoto), Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) na Jenerali
Robert Mboma (wa pili kulia) alipokutana na viongozi wa vyombo vya
Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam mara
baada ya mazungumzo yao.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Mirisho Sarakikya
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu Jenerali Robert Mboma
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu Jenerali Davis Mwamunyange
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro pamoja na IGP
wastafu Omari Mahita, Saidi Mwem na Ernest Mangu alipokutana na viongozi
wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omari Mahita alipokutana na
viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Saidi Mwema alipokutana na
viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Ernest Mangu alipokutana na
viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Dkt Juma Malewa
(kushoto) pamoja na Wakuu wa jeshi hilo wastaafu Simon Mwanguku (wa pili
kushoto), Nicas Banzi (wa tatu kulia) Augostino Nanyaro na John Casmir
Minja (kulia) alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama
wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu Simon Mwanguku
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu Nicas Banzi
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu Augostino Nanyaro
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu John Casmir Minja
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.
Modestus Kapilimba (kushoto) pamoja na Wakurugenzi Wakuu wastaafu Cornel
Apson (wa pili kushoto) na Kulia Rashid Othman alipokutana na viongozi
wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa mstaafu Cornel
Apson alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus
Kapilimba alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama
wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa mstaafu Rashid
Othman alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa
na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt Anna Peter
Makakala (kushoto) na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Mstaafu Kinemo Kihomano
alipokutana na Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Thobias Andengenye (kulia) na Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi hilo
Mhandisi Pius Nyambacha alipokutana na Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na
Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Mhandisi Pius Nyambacha alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na
Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Kamishna jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias
Andengenye alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama
wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omari Mahita alipokutana na viongozi wa
vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Agosti 31, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa mstaafu Cornel
Apson alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Mstaafu Saidi Mwema akibadilishana mawazo wa Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kulia), Kamishna Jenerali wa
Magereza Dkt. Juma Malewa (wa pili kulia) na Kamishna Jenerali wa Idara
ya Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Wakuu wa Jeshi la Polisi wastaafu Saidi Mwema na Omari Mahita
alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na
wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Saidi Mwema akiongea na wanahabari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi baada ya kukutana na viongozi
wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Agosti 31, 2017. (Picha zote na IKULU).