WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA SABASABA
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samwel Kamanga akiweka
saini katika kitabu chwa wageni alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha
na Mipango katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Saba saba)
yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini
Dar es salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Wizara ya Fedha na Mipango
Josephine Majura.
Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akisaini
kitabu cha wageni katika banda la GEPF wakati alipotembelea banda hilo
katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Saba saba)
yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini
Dar es salaam
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (kulia) akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko Shirika la Bima la Taifa Bw.
Elisante Maleko wakati alipotembelea Taasisi hiyo iliyopo chini ya
Wizara ya Fedha na Mipango katika banda la Wizara hiyo katika Maonesho
ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Saba saba) yanayoendelea katika viwanja
vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment