VIDEO – UMEWAHI KUSOMA KITABU CHA NEEMA YA GESI NA MAFUTA TANZANIA? MAWAZO YA MWANDISHI NA HATUA ZA RAIS ZINAENDANA?
Albano Midelo ni Mwandishi wa kitabu cha Neema ya Mafuta na Gesi
Tanzania, Azungumzia sababu za kuandika kitabu hicho ambacho kimeanza
kuzaa matunda kutokana nay ale aliyoyaandika, Je amepata mafanikio gani
katika uandishi wa kitabu hicho ? pia azungumzia vitabu vingine
anavyoviandaa kuviingiza sokoni.
No comments:
Post a Comment