Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakivuta utepe
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya
Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es
Salaam.
Baadhi
ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifatilia Hotuba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka
jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kutoa
hotuba yake kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa
Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird alipokuwa
akisoma hotuba yake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakati
wakitazama kipeperushi ya maelezo ya Mradi wa uboreshaji wa Bandari
jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa,
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird pamoja na viongozi wengine
wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika eneo la Bandari
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza
muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi
wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi
Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment