Malinzi na
Mwesigwa walifikishwa leo mahakamani Kisutu kwa mara ya pili na
kurejeshwa rumande hadi kesi yao itakaposikilizwa kwa mara nyingine
Julai 17, mwaka huu.
Wawili hao wanakabiliwa na mashitaka mbalimbali
kuanzia 25 hadi 28 likiwemo lile la matumizi mabaya ya ofisi na
utakatishaji wa fedha.
Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri alisema upande wa utetezi wenyewe wanatambua kuwa mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.
No comments:
Post a Comment