Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akionesha Ipad maalumu aliyopewa ili kumuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa mapato ya kila siku. Kulia kwake ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wakati wa kutembelea kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akihutubia baada ya wakati wa
kutembelea Kituo cha Kutunzia Taarifa (Data centre) na na kuzindua
Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektronini kwenye
sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1,
2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akihutubia katika Kituo cha
Kutunzia Taarifa (Data centre) wakati wa kuzindua Mfumo wa Ukusanyaji
Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektronini kwenye sherehe
zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine akitoka kutembelea
kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa
Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe
zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Ofisa Mtendaji
Mkuu wa shirika la simu Tanzania TTCL Bw. Waziri Kindamba wakati wa
kutembelea Kituo cha Kutunzia Taarifa (Data centre) na kuzindua Mfumo
wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektronini kwenye
sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Bw. Joseph Kichere wakati wa kutembelea
Kituo cha Kutunzia Taarifa (Data centre) na kuzindua Mfumo wa
Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektronini kwenye sherehe
zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akionesha Ipad maalumu aliyopewa ili
kumuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa mapato ya kila siku. Kulia kwake
ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein na kushoto kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan na viongozi wengine wakati wa kutembelea kituo cha kutunzia
taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji
Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika
Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akionesha Ipad maalumu
aliyopewa kumuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa mapato ya kila siku.
kushoto kwake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi
wengine wakati wa kutembelea kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre)
kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya
kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es
salaam leo June 1, 2017.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan akionesha Ipad maalumu itayomuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa
mapato ya kila siku. Kulia kwake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wakati wa
kutembelea kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua
Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya
kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es
salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine akizindua Mfumo wa
Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe
zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe
Samia Suluhu Hassan na viongozi katika picha ya pamoja na wakuu wa
makampuni ya mawasiliano mbalimbali nchini kwenye sherehe ya uzinduzi wa
Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya
kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es
salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe
Samia Suluhu Hassan na viongozi katika picha ya pamoja na wakuu wa
Mabenki mbalimbali nchini sherehe ya uzinduzi wa Mfumo wa Serikali wa
Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe
zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Picha
na Ikulu
No comments:
Post a Comment