Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Gabriel Silayo, akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo ya mafunzo kwa wastaafu watarajiwa |
Meneja Pensheni wa PSPF, Bw. Mohammed Salim, akitoa mada juu ya maandalizi na fursa za wastaafu
Afisa Mwandamizi wa Utafiti wa PSPF, Bw. Mapesi Maagi, akigawa vitendea kazi kwa washiriki wa semina mwanzoni mwa mafunzo hayo
Bw. Silayo, (Kushoto), akiteta jambo na Meenja wa Mipango na Utafiti wa PSPF, Bw. Luseshele Njeje.
Mshiriki akizunguzma wakati wa semina hiyo
Afisa Uhusino Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi akitoa utaratibu wa namna semina hiyo itakavyoendeshwa
Mshiriki akinukuu kilichokuwa kikiendelea
Wanasemina wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa
Baadhi ya wadau wa PSPF, na washiriki wa semina wakifuatilia mada zilziokuwa zikitolewa
Washiriki wa semina wakiwa kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo BoT jijini Mwanza
Bw. Silayo, (Kushoto), akimsikiliza kwa makini Meneja wa Fedha wa Mfuko huo, Bw.Lihami Masoli
Kuonyesha semina hiyo ilikuwa muhimu
kwa wastaafu hawa watarajiwa, mshiriki wa semina akinakili kwa uangalifu
mkubwa yaliyokuwa yakielezwa (mafunzo)
Afisa Mfawidhi wa PSPF, mkoani Mwanza,
Bw.Salim Salum, akifafanua baadhi ya hoja zilizojitokeza. Kulia ni
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa PSPF, Bw. Gabriel Silayo na katikati ni
Meenja wa Pensheni wa Mfuko huo, Bw. Mohammed Salim
Sehemu ya washiriki wa semina
Mshiriki akipitia ratiba
Washiriki hawa wakipitia vipeperushi vya PSPF vyenye taarifa mbalimbali za Mfuko
No comments:
Post a Comment