Spika Mstaafu Anne Makinda akifurahia zawadi aliyopewa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU). |
Spika Mstaafu Anne Makinda
akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi
-Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu
unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa
kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa
Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo
ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi
(CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya
udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns
Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther akizungumza wakati wa
hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi – Nguvu ya Mabadiliko”
Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea
uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi
ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na
Uchaguzi Mkuu 2020. Kulia ni Mkuu wa Sehemu ya Uchumi na Utawala kutoka
Umoja wa Ulaya (EU), Oliveier COUPLEUX na Mwakilishi Mkazi wa HSF
Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia
hotuba ya Spika Mstaa Anne Makinda (hayupo pichani) wakati wa hafla ya
uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi – Nguvu ya Mabadiliko” Jijini
Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo
wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya
asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi
Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,
Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi
ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za
Ulaya (EU).
Mratibu wa Mradi wa “Wanawake
Viongozi – Nguvu ya Mabadiliko” Bw. Herry Lugala akifafanua jambo kuhusu
mradi huo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya
kumalizika kwa hafla ya uzinduzi rasmi wa mradi huo Jijini Dar es
Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake
200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40
ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020,
unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha
Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns
Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya
(EU).
Spika Mstaafu Anne Makinda
akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation
(HSF), Dkt. Susanne Luther wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa
“Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi
huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake
200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40
ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020.
unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha
Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns
Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya
(EU).
Spika Mstaafu Anne Makinda
akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa WA Taasisi ya Women Fund Tanzania
Bi. Rose Julius (kulia) wakati alipokuwa akitendelea maonyesho
yaliyoenda sambamba na uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya
Mabadiliko”Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017
umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa
kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa
Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo
ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi
(CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya
udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
Spika Mstaafu Anne Makinda
akifurahia zawadi aliyopewa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel
Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam.
Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo
wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya
asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi
Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,
Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi
ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za
Ulaya (EU).
Spika Mstaafu Anne Makinda
akiagana na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia
Berger wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu
ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia
2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi
wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi
wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu
ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya
Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini
ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU). Kushoto ni Mkurugenzi wa
Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther.
Spika Mstaafu Anne Makinda na
Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne
Luther wakati katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza hafla ya
uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini
Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la
kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili
kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za
Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women
Fund Tanzania, Kituo cha Utawala
Baadhi ya wavuvi wakiwa katika Mwalo wa
Katonga Mkoani Kigoma wakijiandaa kwaajili kuingia katika Ziwa
Tanganyika kuvua Dagaa.(PICHA NA MAELEZO)
No comments:
Post a Comment