Pages

Friday, June 30, 2017

DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI

Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz)  akipongezwa na moja wa mashabiki wake waliofika kumuunga mkono kwa kununu karanga za shilingi 5000 mara baada ya uzindzui wa biashara hiyo 
 Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akizungumza na wakazi wa Ilala Mchikichini wakati alipokuwa akifanya shoo ya uzinduzi wa Karanga zake zinazokwenda kwa jina la Diamond Karanga zitakazouzwa madukani kote katika mfumo wa kisasa.
Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akitoa Burudani kwa mashabiki wake waliofika katika uzinduzi wa Karanga zake uliofanyika katika Viwanja vya soko la Mchikichini Karume Ilala Jijini Dar es Salaam 

 Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz)  akitoa burudani kwa mashabiki wake waliofik akumuunga mkono katika biashara yake ya Karanga
 Mama mzazi wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akiwa anakula Karanga za mtoto wake mara baada ya kuzinduliwa Karume jijini Dar es Salaam

 Mashabiki wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) wakigawana Karanga mara baada ya kuzinunua mara baada ya uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam
 Mashabiki wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) wakigawana Karanga mara baada ya kuzinunua mara baada ya uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam
 Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) ,akiwa amepiga picha ya pozi na mmoja wa wauza Karanga ambaye ameamua kuuza Karanga za Mwanamuziki huyo na kuachana na Karanga za Kawaida
 Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz)  katika picha ya pamoja na wadau wake walionunu Karanga
 Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akimfungulia mfuko wa Karanga  mmoja wa wauza Karanga ambaye ameamua kuuza Karanga za Mwanamuziki huyo na kuachana na Karanga za Kawaida
  Meneja wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz), Salaam SK akizungumza  katika Tamasha hilo
  Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akiwa na boksi la Karanga
 Mashabiki wa  Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz)
  Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akiwasili katika viwanja vya  soko la Mchikichini
 Mashabiki wa  Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz)
 Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz)

No comments:

Post a Comment