Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka
wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma Mjini, Mabalozi, Watendaji
wa Chama na wa Serkali, mjini Kigoma, Juni 1, 2017
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na
Kigoma Mjini, Mabalozi, Watendaji wa Chama na wa Serkali, mjini Kigoma,
wakishangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya
WazaziTanzania, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwaakizungmza nao katika
kikao kilichofanyika Kigoma mjini.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni bada ya kuwasili meza kuu
kuhutubia kikao hicho. Kushoto ni Mjumbe wa NEC kutoka Wilaya ya Uvinza
Asha Baraka
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe kutoka Uvinza wakishangilia walipotambulishwa
Baadhi ya madiwani wakishangilia baada ya kutambulishwa
Maofisa wa Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi, wakisaini vitacbu vya wageni wakati wa kikao hicho
Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma, Naomi Kapambala akizungumza mwanzoni kwa kikao hicho
Katibu
wa Siasa na Oganaizesheni kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi
Tanzania, Ndugu Mgaya akisalimia baada ya kutambulishwa kwenye kikao
hicho
Wajumbea wakimshangilia Ndigi Mgaya wakti akijitambulisha
Ofisa kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania akijitambulisha
Baadhi ya madiwani wakitambulishwa
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk Amani Kabirou akifungua kikao hicho. Kulia ni
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania,
Alhaj Abdallah Bulembo na kushoto mi Mjumbe wa NEC kutoka Uvinza Asha
Baraka
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akitaka ufafanuzi wa jambo, kutoka kwa Katibu wa CCM
mkoa wa Kigoma, Naomi Kapambala baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi
nfani ya Chama, wakati wa kikao hicho
Afisa
Afya wa mkoa wa Kigoma, Ambakisye Mhune akitoa darasa kwa wajumbe wa
kikao hicho namna ya kujihami na ugonjwa wa Ebola, ambao alisema, hivi
sasa umelipika ena katika nchi jirani ya Congo DRC.
Mjumbe wa NEC, Kirumbe Ng'enda akifuatiia kwa makini mada hiyo iliyokuwa ikitolwa na mtaalam huyo
Mtaalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kigoma akitoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ya uchumi katika mkoa huo
Wajmbea wakiwa ukumbini
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akizungumza na wajumbe kutoka ufafanuzi wa maswala
mbalimbali ikiwemo uhaguzi ndani ya Chama, Ndugu Bulembo kabla ya
kuzungumza na wajube hao alitawazwa kufalishwavazi la heshima la Waha
laaina ya Mpuzu, ambalo ni ishara ya kiongozi makini na mwenye
kuheshimika

"Hii
Katiba ya Chama ndiyo mwongozo wa mambo yote ndani ya CCM,ikiwemo namna
ya kuomba uongozi", alisema Bulembo akizungumza na wajumbe hao
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj
Abdallah Bulembo akiwasomea wajumbe taratibu na kanuni za uchaguzi ndani
ya Chama
Mjumbe
wa KamatiKuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akiondoka meza kuu bada ya kikao hicho
Bulembo akiondoka ukumbini
Bulelbo akiagana na baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao hicho
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akimpongeza msoma risala, baada ya kusomewa risala
hiyo kabla ya kufungua Shina la Umoja wa Vijana wa CCM, la Dk. John
Magufuli
Katibu
wa CCMmkoa wa Kigoma, NaomiKapambala akimpatia maenelezo Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, kabla ya kuzindua Shna la Imoja wa Vijana wa CCM la
Dk. John Magufuli katika eneo la Mwanga mkoani humo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akigawa kadi za UVCCM kwa mmoja wa wanachama Wapya
kabla ya kuzindua shina hilo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akipandisha bendera ya CCM, kuzidua Shina la Umoja wa
Vijana wa CCM a Dk. John Magufuli, kaika eneo la Mwanga mkoani Kigoma.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akisoma mandhishi, bada ya kuondoa kitambaa ikiwa ni
ishara ya kuzidua Shina la Umoja wa Vijana wa CCM, la Dk John Magufuli
katika eneo la Mwangamkoani Kigoma,
Shamra shamra kwenye shina hilo baada ya kuzinduliwa
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akikabidhi fedha kwa uongozi wa shina hilo, fedha hizo
alichangisha kwa wadau waliokuwemo kisha akajazia mwenyewe. (PICHA:
BASHIR NKOROMO WA CCM)
No comments:
Post a Comment