Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua
miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing
na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya kongwa, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe.
Balozi Lou Youqing (kulia) kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi mbali
mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (katikati)akitembelea shule ya msingi ya Ibwaga, shule aliyosoma
wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo
wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. wa pili kushoto, ni Balozi wa China
nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (wa pili kulia) akiongozana na Balozi wa China nchini Tanzania,
Mheshimiwa Balozi Lou Youqing wakati wa ziara yake ya kukagua miradi
mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari
Banyibanyi wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya
maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
No comments:
Post a Comment