Wafanyakazi
wa kampuni ya TBL Group wameungana na wafanyakazi wa taasisi nyingine
kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo kwa hapa nchini
ilifanyika mkoani Kilimanjaro ambapo mgeni wa heshima alikuwa ni Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.John Magufuli.
Katika
kuadhimisha siku hiyo muhimu kwao wafanyakazi walishiriki katika
maandamano yaliyofanyika sehemu mbalimbali za nchi na kauli mbiu yao ya
mwaka huu “Uchumi wa Viwanda uzingatie haki,Maslahi na heshima ya wafanyakazi.
Kampuni ya TBL Group ina viwanda katika mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Arusha,Kilimanjaro na Mbeya
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakiwa katika maandamano ya Mei Mosi Mjini Moshi kuelekea uwanja wa Ushirika
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakiwa katika maandamano ya Mei Mosi Mjini Moshi kuelekea uwanja wa Ushirika
Vitendea kazi kama magari pia yalionyeshwa katika maandamano ya Mei Mosi
Wafanyakazi wa TBL Group ndani ya uwanja wakipita jukwaa kuu
Wafanyakazi wa TBL Group ndani ya uwanja wakipita jukwaa kuu
No comments:
Post a Comment