MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI YAANZA MWANZA
Mtaalamu
wa Mawasiliano nchini, Innocent Mungy akiwasilisha mada kwenye kongamano
la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika
jijini Mwanza. Kongamano hilo lililoanza leo Mai 2, 2017 linamalizika
kesho Mei 3.
Mkurugenzi
wa Wakfu wa Vyombo vya Habari nchini 'TMF', Ernest Sungura akiwasilisha
mada kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza.
Baadhi ya
wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari wakiwa kwenye
kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
2017 linalofanyika jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd, Francis Nanai akichangia mada katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment