Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja
leo Aprili 28, 2017 na Viongozi wa SHIVYAWATA mara baada ya kumaliza mkutano wao mjini Dodoma, kushoto
kwake ni Naibu wake (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na
Viongozi wa SHIVYAWATA kujadili utekelezaji wa majukumu yao katika
Ukumbi wa Ofisi yake Bungeni Dodoma Aprili 27, 2017.
Wajumbe
wa mkutano wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu
nchini wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
wakati wa kikao chao Mjini Dodoma tarehe 27 Aprili, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama akiendesha mkutano na Viongozi wa Shirikisho la
Vyama vya Watu Wenye Ulemavu walipokutana ofisini kwake Dodoma kujadili
utekelezaji wa Majukumu yanayowahusu.
No comments:
Post a Comment