Pages

Sunday, April 2, 2017

UZINDUZI WA BARABARA YA MGAGADU-KIWANI PEMBA


SA
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDIZI DK ALI MOHAMED SHEIN AKIKATA UTEPE KUZINDUA BARABARA YA MGAGADU-KIWANI MKOA WA KUSINI PEMBA LEO,(PICHA NA IKULU)
SA 1
Rails DK.SHEIN AKIPATA MAELEZO ALIPOTEMBELEA UJENZI WA BARABARA HIYO.
SA 2
WANANCHI WA KIWANI WAKIMSIKILIZA RAIS WAKATI ALIPOZUNGUMZA NAO LEO BAADA YA UZINDUZI WA BARABARA YAO

No comments:

Post a Comment