Mwenyekiti wa KILIFM Sports Center
akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu KILIFM
International Marathon yanayolenga kuzuia mauaji ya Albino, utunzaji wa
mazingira na uoto wa asili pia kuzuia mauaji ya Tembo nchini,leo Jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni mjumbe wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Bw.
Peter Mwita.
Mratibu wa Mashindano ya mbio za
KILIFM akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo Jijini
Dar es Salaam, kuhusu mashindano ya KILIFM International Marathon
yanayotarajiwa kufanyika Augusti 13, Mwaka huu Mkoani Kilimanjaro.
Picha na: Beatrice Lyimo – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment